MTOTO WA MFALME ABDULLAH AL-SABAH AOKOKA KUTOKA UISLAMU KUWA MKRISTO

Mwana wa mtoto wa Mfalme wa Kowait ameacha Uislamu na kugeuka kuwa mkristo. Tukimnukulu alivyosema ni kwamba ” Wakitaka kuniuwa , waniuwe ila najuwa nitakuwa karibu na Yesu wakati nitakapokufa. BIblia inaniambia mambo mengi sana na nina uhakika kwamba Mungu atakuwa pamoja nami sana. Wakiniuwa leo kesho nitakuwa tokelezea mbele ya Yesu.
Watu wa Kowait wana asilimia 96% ya dini ya kislamu na dini ihi inatawala sana mpaka pale unapokuta kwamba sheria inayotumika hapa kowait ni Sharia ile ya waislamu. Jiwaze mtoto wa mfalme kutamka maneno haya ujuwe kwamba ameona umuhimu wa kuwa na Yesu maishani Mwake.
Mungu azidi kumsaidia na kumlinda ili wengine wamfuate kwa jina la Yesu.

0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger