Mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu.
Swali hilo liliibua maoni mengi huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi….
Swali hilo liliibua maoni mengi huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi….
Nimeona sio mbaya nikishare na wewe swali hili kwa kulileta hapa nikiamini hapa pia kuna wadau wengi wa mwanadada;
Uwoya aliuliza; Kitu gani mnapenda kwenye mwili wanguuu ?????
Kazi ni kwako mdau
0 comments:
Post a Comment