MWANAMUZIKI wa Bongo
Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye
kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani
anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.
Akizungumza na mwandishi wa
habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa
huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa
‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
Nuhu Mziwanda afunguka tuhuma za kupewa kichapo na Shilole
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment