Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote!
Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa
wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond
Platnumz.
Picha hiyo haipo tena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka
kwenye ukurasa wake wa pili (zarithebosslady_) kuelezea alivyosikitishwa na kauli ya Wema kwenye
picha yake (Zari) isemayo ‘mimba my foot’.
Kwa mujibu wa urbandictionary.com msemo ‘my foot’ humaanisha: An exclamation that means that one believes the previous speaker’s statement to be untrue
"Astagafululah! May God Protect Zarimond and chibu junior #zaritlale #chibujunior #zarihassan #chibudangote"
0 comments:
Post a Comment