[ VIDEO ] : Diamond na mpenzi wake Zari wakifanya Yao

Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema mfalme wa Mapozi nchini.

Katika video ambayo Mama Kijacho Zari Tlale amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram  wakiwa  faragha, Diamond anaonekana akifurahia kufuatiliza wimbo huo na kulipachika pia jina la Zari kwenye mstari alioungeza mwenyewe.
mond

“Niko busy napata upepo wa bahari, niko Burundi nimetulia na mtoto Zari,” anasikika akirap Chibu.

Kama ulikuwa hujui, Diamond na Mr Blue waliwahi kuwa na beef kisa akiwa ni Wema Sepetunga! 
Mtazame hapo chini.
MTAZAME 



0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger