Baada
ya kufungwa kwa chuo kikuu cha St. Joseph tawi la Songea, wanafunzi wa
chuo kikuu cha St. Joseph Arusha wamekuwa katika hali ya wasiwasi
wakiogopa kama ya waliowakuta wenzao wa Songea na kuleta hali ya
sintofahamu chuoni hapo.
St.joseph Tawi la Arusha kimefungwa chuo hicho rasmi hadi hapo NOTICE itakapotolewa.
Wanafunzi wametakiwa kurudi Nyumbani kwao, hadi hapo taarifa itakapotolewa.
Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana !
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment