Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh
Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda ameibuka na kuandika
bandiko hili mtandaoni.
“Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia
kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli
wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala
la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekupa ruksa nipige mpaka
nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja
sana ….zimaTaa sie tayari”Mziwanda aliandika baada ya kuweka picha hiyo
hapo juu
Mh! Amakweli haya ndio mapenzi!! Kila la kheri……
Nuh Mziwanda: Shilole Nimekupa Ruksa, Nipige Mpaka Nikome!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment