Aunty Ezekiel Akerwa na Uamuzi wa Mzee Majuto

Wakati  mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto akidai kutoshiriki kazi na msanii yeyote kutokana na kuibiwa, msanii mwenzake, Aunty Ezekiel amechukizwa na uamuzi huo.
Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel
Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel
 
Akizungumza na Uwazi, Aunty alisema kuwa haamini kama wezi wa kazi zake ndiyo chanzo cha Majuto kuachana na filamu za kushirikishwa bali inawezekana kuna tatizo lake lingine.
 
“Suala la wezi lipo miaka mingi na kama mkongwe na mpenda maendeleo alitakiwa kusimama maana kila mmoja akisema achukue uamuzi kama huo ni wazi kwamba kutakuwa hakuna msanii tena Tanzania,” alisema.

0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger