DIAMOND

Diamond Ajivinjari na Boss Lady Zari Tajiri East Africa Nzima

Ni baada ya huyu mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri East afica nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na “sukari ya warembo”
licha ya kupanda ndege moja wakija Tanzania na kupost picha zao instagram chanzo kimesema binti huyu na chibu walifika wote airport ili kujiandaa na safarit ya kuja tz. awali inasemekana wawili hao walikua karibu kitu kilichofanya wapeane kampani waje na ndege tarehe moja, ratiba moja, kwa siti moja, Hii imekuja wakati ambao kuna tetesi kuwa Dai Ameachana na Mpenzi wake Wema Sepetu.
boss

 

0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger