Meno
ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Maranyingi watu wengi
huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino
kuling’oa jambo ambalo si kweli.
Tambua ndugu yangu kuwa unapokwenda kung’oa jino unang’oa Mfupa sio Fizi
wala mishipa ambayo hakuna madhara kwa bakteria anaesababisha jino
kuuma.
Tambua kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni
wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid
unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Na ndio kazi yao. Lakini
wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi
kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachwa ukawa sugu
unasababisha ugonjwa wake kuwa sugu na hujulikana kama MACHODIFECE
ugonjwa huu husababisha na hufanya meno kuoza, ama kutoboka kutokana na
bakteria AFINOTOBALASAD ndio wanaosababisha na huwa wanaingia ndani
kwenye fizi kwa ajili ya kula damu. Hapo ndipo mtu hupatwa na tatizo la
kuumwa na jino au meno.
Ili kuondoa tatizo hili, ni lazima uwaue hao bakteria na si kong’oa
jino kwani wadudu hao walivyo unapong’oa jino moja wao huwa wanahamia
jino jingine.
Tiba rahisi ya jino au meno yanayouma bila kung'oa wala kutumia dawa za hospitali tumia mojawapo kati ya hizi hapa:
- Tengeneza na kunywa juisi ya bilinganya (Bringal).
- Jino linalouma au fizi zilizovimba: Ponda ponda tangawizi mbichi kisha itie chumvi. Weka kwenye jino linalouma au fizi ilipovimba.
- Saga majani makavu ya mint kutengeneza unga wake, kisha tia chumvi na weka kwenye jino linalouma.
- Saga karafuu kuwa unga. Weka kiasi cha unga huo kwenye jino linalouma. Pia kama una mafuta ya karafuu, chukua nyuzi za pamba (cotton wool) chovya kwenye mafuta hayo na weka wool hiyo kwenye jino linalouma.
CHANZO:http://asiliyako.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment