Unaukumbuka
Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba “Ntampata wapi ??””…Unaambiwa
mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo.
Mrembo
na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini
Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila
malipo yoyote….
Tiara
amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz. Kama ni
Sura ya mtaratibu , Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo…!!!!!
0 comments:
Post a Comment