MSAFARA WA MAZIKO YA WANAJESHI WA JWTZ WAPATA AJALI BAADA YA GARI KUPINDUKA HUKO ZANZIBAR... HII NDIO HALI YA MAJERUHI WA AJALI HIYO KWA SASA..


 Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari iliopinduka ikiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur, ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari waliokuwa wamepanda wakienda makaburini kwerekwe. 
 Majeruhi wa ajili yagari ya jeshi wakiwa katika hospitali ya mnazi mmoja wakisubiri huduma ya kwanza baada ya kufikisha hospitali hapo. kwa matibabu. 

 Daktari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu. 




Makaktari katika ya Hospitali ya mnazi mmoja wakiandaa vifaa kwa ajili ya kutowa huduma ya kwanza katika hospitali kuu ya mnazo mmoja kwa matibabu, ajali hiyo imetokea maeneo ya mwankwerekwe sokoni. 

0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger