MAUAJI YA KUTISHA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA, MWANAFUNZI AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU SHINGONI....!!
Huyu Ndio Henry Aliye Uawa |
Mbunge Wa Arusha Mjini Godbless Lema Akiwatuliza Wanafunzi Wa Chuo Hicho |
----
Taarifa
Kutoka
Chuo Cha Uhasibu Arusha zinadai kuwa Mwanafunzi
Wa BEF 2 anayejulikana kwa jina la Henry ameuawa kikatili na watu wasiofahamika....
Mwanafunzi huyo Alikuwa Masomoni
Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami.
Kabla Hajafika Eneo La Malazi (Hostel) alipigiwa Simu na Mwenzake amsubiri Ili Waende Wote Hostel.
Inasemekana
Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo
Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi
Huyo...Wakati wakiendelea kuzozana, rafiki yake naye alifika.....
Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio
Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja wa Vijana Hao Tumboni Na Shingoni
na Kupoteza Maisha Hapo Hapo....
Rafiki Aliye Kuwa Nae Inasemekana
Alichomwa Kisu Cha Tumboni Na Kuachwa
Akishuhudia Mwenzake Akipoteza
Maisha
0 comments:
Post a Comment