HIVI NDIVYO WALINZI WA CHADEMA WANAVYO MLINDA MWENYEKITI WAO MH. MBOWE

Walinzi wa Chadema wakiwa wameninginia kwenye gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wakielekea kwenye
mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Wajenzi, mjini Dodoma, Jumamosi iliyopita.

0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger