MAKALI YA NAULI KUANZA KUFANYAKAZI


DSCF9477 86da1

Hizi nauli zilivyopanda kwa mamlaka ya wenyemaamuzi hivi hawa Nduguzangu wa ishio mwambao wa ziwa Nyasa itakuwaje?
Waungwana naomba mawazoyenu pamojanakuwa halihiyo inatukumba sote lakini kwa hali yakimaisha tunatofautiana kwa tulio mijini na vijijini.


Tena tunavyo tafuta kipato kwakutumia fursa tulizonazo katika maeneo tofauti naimani wenzetu waishio
Mwambao wa Ziwa Nyasa wilaya ya Ludewa itawawea vigumu mmno kwasababu hali yauchumi kwao ningumu . kwani wanategemea uvuvi na baada ya kuvua wanategemea usafiri wa Boti kwenda Matema Kyela mkoa wa Mbeya kuuza nakujipatia mahitaji muhimu. Usafili huo hupatikana kwa wiki malamoja.
Kwani wananchi hao hawana usafili waaina nyingine wowote hakuna Barabala wala njia yakupitisha pikipiki au Baiskeli.
Mwishoni mwa mwaka 2012, nikiwa katika ziara ya mbunge nilishuhudia wananchi wakimshukuru mbunge wao Deo Filikunjombe alipowatembelea nakuwaeleza matarajio ya maendeleo aliyo waahidi wakati wa uchaguzi
Kamavile kuwaboreshea usafiri wa Meli,Boti,na njia za mawasiliano yasimu kwamshangao walionyesha furaha iliowatoa machozi kwakuwa kwao nindoto kusikia maelezohayo. Sasa wakatihayo yakifanyiwa mchakato kwa utekelezaji Mzigo mwingine unakuja ambao haukwepeki.
Niwazi wenye vyombo vya usafilishaji majini hawatakwepa kuongeza bei.
Nduguzangu nakumbuka unapoumwa binafsi huhisi hakuna anae umwa zaidi yako lakini ufikapo Hospitali utawakuta wanaoumwa zaidi yako na utawapisha wamuone Mganga ndivyo ilivyo kwa wenzetu waishio Mwambao wa ziwa nyasa hakuna l msaada wadharula kwa wazima au wagonjwa.

0 comments:

 

LIKE PAGE YETU UWE WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA. Just Click Like Button Below...

Powered By OnlineBlogger