"NAJUTA SANA KURUDISHA KADI YA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM, NAOMBA WATANZANIA WANISAMEHE"......NAKAAYA....!!
Kupitia kipindi cha XXL cha CLOUD fM. Mwanamuziki wa Bongo flovor ameomba radhi watanzania na wanachama wa chadema kwa kurudisha kadi ya CDM na kuchukua ya CCM
Anaomba Watanzania wajue yeye ni binadam na anafanya Makosa na hamuezi jua ni kwa namna gani anateseka sana
Anasema hajawahi kulizungumza hili lakini amelisema na anajuta sana
Nakaya anategemea Kupata mtoto na Kwa kuipenda Tanzania anasema mtoto wake atapewa jina la kiasili ya usukumani
Mungu akujalie na Watanzania Wamekusikia
0 comments:
Post a Comment