AFANDE AKICHEZEA NYETI ZA MTUHUMIWA KWA KISINGIZIO CHA UKAGUZI...!!
Pengine hizi ndo starehe pekee wanazozipa "maafande" hasa wale wanahusika na ulinzi wa mageti.....
Miongoni mwa majukumu yao ni
"kuwapapasa" na "kuwashika- shika" watu wanaofika katika maeneo
hayo yenye ulinzi mkali ili kujiridhisha kwamba hawana silaha
au kitu chochote kibaya....
Kinachoshangaza zaidi ni kitendo cha
mafande kukomaa na nyeti za akina mama wakati kuna sehemu
zingine kibao za mwili ambazo walitakiwa wazikague.....
Hata hivyo, kwa dunia ya leo,
ukaguzi kama huu umepitwa na wakati kwa sababu kuna vifaa
vingi sana vya kitaalam ambavyo vinaweza kufanya kazi hizi
badala ya maafande kushinda wakicheza na makalio ya watu
0 comments:
Post a Comment